English
Bootstrap Themes

Wekeza na TSL -
Global Markets

Tanzania Securities Limited (TSL) ndio dalali wa kwanza wa hisa aliyepewa leseni nchini Tanzania, kwa hivyo ina uzoefu mkubwa katika udalali wa hisa. Kila wakati tunatafuta njia za kupeleka huduma kwa wateja wetu katika udalali wa dhamana za mda mrefu (hatifungani) kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Tunatoa pia taarifa yakinifu za sokoni pamoja na zana za ufuatiliaji wa mitaji ya wateja wetu kupitia mkondoni (online).