English

Je! Umewahi kununua Hisa kupitia TSL hapo awali?

Ikiwa hiia ni mara yako ya kwanza kununua Hisa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam kupitia TSL, kwanza utajaza fomu ya maombi kufungua Akaunti ya hisa za DSE (DSE CDS) na TSL.

NDIYO, nimeshawekeza kupitia TSL

HAPANA, hii ni mara yangu ya kwanza