Kama soko la upili, Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) linatoa fursa kwa wawekezaji kununua na kuuza hisa za makampuni wakati wowote. TSL, kama dalali mwenye leseni, itashughulikia agizo lako la kununua au kuuza.