Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inafanya minada kuuza Dhamana za Serikali. Kama Mshiriki wa Hifadhi Kuu (CDP), TSL itashughulikia zabuni yako kulingana na kalenda ya mnada (tazama hapa chini) iliyotolewa na BOT.
Tarehe ya Mnada | Muda wa Dhamana | Kiwango cha kuponi | Bonyeza ili... |
---|---|---|---|
19-Mei-2021 | Miaka 20 | 15.49% | NUNUA |
2-Jun-2021 | Miaka 15 | 13.50% | |
16-Jun-2021 | Miaka 5 | 9.18% |